Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #161
Kikosi kinachoanza dhidi ya CR Belouizdad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Hawaonyeshi
Ikifika saa 6 usiku uje hapa😂😂😂😂 Wapi Diarra Djung?
Metacha mtatoboa?
CCM na CHAWA wamegeuza hizi timu kuwa za Chama.Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga sc
View attachment 2822882
Safari hii jisiem atawalisha uji na maharageAnagongwa mkono wa nyani kama ule wa Simba aliogongwa DSM
Mtapigwa kama ngomaKikosi kinachoanza dhidi ya CR Belouizdad
View attachment 2823673
Mechi ikiisha uje hapa mtaniMtapigwa kama ngoma
Tokea asubuhi nipoMechi ikiisha uje hapa mtani
Yanga haijawahi kutuangusha mechi za away
Kwa nini yanga sc kakufunga goli 5 ?Mbona huwa inanyukwa na Ihefu kule Mbarali kila msimu! Kwani kule ni home au away?
Baadae tutasomana mtaniTokea asubuhi nipo
Thubutuuuu!!Mtapigwa kama ngoma
Nitakuwepo hadi hiyo midaIkifika saa 6 usiku uje hapa
Likewise to Gamondi.Kocha wa CR Belouizdad kaanza na beki wa 4🤣🤣🤣😁😁
Ihefu au sio?Mbona huwa inanyukwa na Ihefu kule Mbarali kila msimu! Kwani kule ni home au away?
Kwa nini anaogopa wakati anacheza nyumbaniLikewise to Gamondi.
Bacca, Job, Lomalisa, Yao.
Hao ni mabeki mzee
Kwa nini yanga sc kakufunga goli 5 ?