Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #141
Acha kutukana toa hoja nzuri zenye kuvutia jukwaa kwa nini umtukane mwenzakoJinga kabisa wewe..
Leo ndio utashuhudia nini maana ya mpira mkae kitako mjifunze,sajili makini kocha makini na uongozi makini.. yanga inaleta mabadiriko ktk nyanja ya mpira Tanzania mpira sio ulozi au Imani yakishirikina bali mbinu akili na wachezaji wenye viwango.. yanga inawafundisha mpira ni sayansi..
Leo itakushika aibu ya kwanini huishabikii yanga,donge litakutoka muda utasema nawe.