chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Wenzetu wanakabidhi timu kwa mganga. mganga kafa kwa tezi dume saivi wanahaha mtoto wa mganga tapel kama mo.Timu tumeishaikabidhi Kwa Mungu toka Leo asubuhi.Tunasubiri kazi ya mikono yake.Kila la heri Yanga a k a wananchi.