FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Wakuu, naona kama marking ya Bakari Nondo kuna namna imepungua, sio kisiki kama msimu uliopita na mwanzoni kwa msimu huu.

Ile mechi ya Stars kulikuwa na makosa yake mengi tu, nimepata hofu juu yake sana na ni moja kati ya wachezaji wangu pendwa pale kikosini.

Au ni wasiwasi wangu tu?
Kuna jamaa aliniambia Bakari Nondo ni mrefu ila haruki mipira ya juu. Tuombe leo apambane yeye na timu nzima.
 
Wakuu, naona kama marking ya Bakari Nondo kuna namna imepungua, sio kisiki kama msimu uliopita na mwanzoni kwa msimu huu.

Ile mechi ya Stars kulikuwa na makosa yake mengi tu, nimepata hofu juu yake sana na ni moja kati ya wachezaji wangu pendwa pale kikosini.

Au ni wasiwasi wangu tu?

Ngoja nikawadokeze wanangu wa Belouizdad kuhusu hili kupitia ukurasa wao wa Instagram
 
Wakuu, naona kama marking ya Bakari Nondo kuna namna imepungua, sio kisiki kama msimu uliopita na mwanzoni kwa msimu huu.

Ile mechi ya Stars kulikuwa na makosa yake mengi tu, nimepata hofu juu yake sana na ni moja kati ya wachezaji wangu pendwa pale kikosini.

Au ni wasiwasi wangu tu?
Za ndaaani kina Bacca na Mwamnyeto waliahidiwa lift na Morocco baada ya mechi ya Stars ili wawahi Algeria kwa mechi ya leo. Ndiyo maana hawakuwa wanakaza sana kama kawaida yao na hata wakati mwingine walikuwa wanataka kuchomesha.
 
Back
Top Bottom