wote wanajua ila yanga anajua zaidiMpira umeanza kwa kasi
Ndiwooo ndiwooo!💚💪wote wanajua ila yanga anajua zaidi
Mbona kama Yanga ndo wana mashambulizi hatari.
yanga hatuna nyumbani wale ugeniniAmna janja janja hapa utazani tupo nyumbani bhana
Diarra nje ya Uwanja
Nlikuwa bize sana leo [emoji848]hata sikuangalia taarifa! Kwa mliofuatilia mbona diara hayupo?