Bado hamjasemayanga hatuna nyumbani wale ugenini
juzi tumetoka mpiga mtu mkono akiwa nyumbani kwake
Ushaambiw watu weusi tunaupungufu wa nati mojaMashabiki wa kiarabu wanashabikia mpira. Wakibongo wanashabikia magoli. Hii ndio tofauti utaiona katika majukwaa ya mashabiki
Waarabu wamekata utepe....Ndio modern football ilivyo
Ila yanga wanacheza vizuri.Waarabu wamekipata walichokuwa wanakitafuta. Goli la mapema.