Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Kwa mpira huo huo Sishangai wamepiga kimoja cha mapema😂😂Kwa mpira wanacheza Yanga siwalaumu Simba kupigwa 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mpira huo huo Sishangai wamepiga kimoja cha mapema😂😂Kwa mpira wanacheza Yanga siwalaumu Simba kupigwa 5
😂😂Kesho hadi singeli nitacheza!
tutakuwa hapa nanyi bumper to bumper, dadeeeq..!!Tulia na mambo ya leo, kesho itajisumbukia yenyewe.
Tulieni tulieni mmeshapata bwana wa kiarabu 😂😂Tulieni tulieniiiii... Muda utasemaaa💚💛💪💪💪💪
Haha..Usiogope mrembo....nywele zetu tumeshaziweka maji.
Tatizo la miaka nenda miaka rudi. Ujinga mno.Yanga hawajui Kupiga Kona aibu hii
Utopolo wanapambana sana...Waarabu wanapaki basi kwao.
Dada,Wakati ni sasa Mdogo wangu...
Kesho itajisumbukia[emoji1]
Umetisha mno, washinde wiki?Mwenyeji sisi tunataka magoli zaidi wengine tumebet mshinde 7 embu fanyeni chap