FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Huyo Bacca game ikiisha hajatoa penalty ashukuru Mungu naona anatumia nguvu sana kuliko akili.
 
Uzalendo naweka pembeni, dua yangu uto wapigwe ili wakae kimya, haiwezekani mechi ushindi kwa Simba ndo kila siku mnaongelea hilo? 💩 poor
 
Yanga kwa dk30 hizi wameonyesha uhai sana,

sema Aziz K sijui anajificha mbona haonekani kutafuta nafasi ili asaidie timu!!
 
.
JamiiForums2071048328.jpg
 
Hilo goli sio la kufungwa kabisa, kipa hovyo kabisa
 
Aloooooo!!! Hatimaye nimepata bando utopolo lazima afe nyingi
 
Huyu mchezaji muongo muongo

Alipoguswa na anaposhika ni tofauti
 
Tatizo la Yanga hawajui kutofautisha uchezaji WA CL na kwenye league ....

CL Ni Goli tu ....mambo ya pila biliani , possession,pass Ni takataka hizo ...
 
Back
Top Bottom