Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kwani ipi sababu iliyomfanya Diarra asicheze?Diara anacheka
Majeruhi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ipi sababu iliyomfanya Diarra asicheze?Diara anacheka
😂😂😂Naomba usicheheke tafadhali...
Utatukumbusha yale machungu[emoji3]
Tena 3 bila 😂😂😂😂Amka ulipokaa zunguka zunguka naona unaota
Ingia uka funge kama ni rahisiSasa Yanga wafunge.
Mpira tumeuelewa ila unaishia nje ya 18.
Exactly my thoughts.Sasa Yanga wafunge.
Mpira tumeuelewa ila unaishia nje ya 18.
Mpaka unatoka kwenye mashindano Taji kitakuwa hili hili "pira biliani trophy"[emoji23]Lakini pira tunalimwaga jamani! Sio mbaya
Mbinu ya kumtunza dhidi ya Al AhlyKwani ipi sababu iliyomfanya Diarra asicheze?
Majeruhi?
😁😁Ingia uka funge kama ni rahisi
SAWAAAA Ngoja tuone dak 90Tukiwaambia mtofautishe kati ya makundi kwenye michuano ya kombe la losers na ile ya mabingwa muwe mnaelewa!!
Yanga anashinda!Yanga anashinda au ana droo
kikosi kipanaKwani ipi sababu iliyomfanya Diarra asicheze?
Majeruhi?
Hata kunipa Pole Dadako?[emoji23][emoji23][emoji23]
yale hayapoi hivi karibuni, na hivi mmeweka kumbukumbu mpaka nyuma ya jersey,
Sina la kusema kwa kweli..!!
Labda mshinde njaaYanga anashinda au ana droo
Au sioKila lakheri Yanga, mtarudisha tu na kuongezea magoli mengine
Nadhani position aliwekwa leo ndio tatizoYanga kwa dk30 hizi wameonyesha uhai sana,
sema Aziz K sijui anajificha mbona haonekani kutafuta nafasi ili asaidie timu!!