FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga sc
View attachment 2822882
Nakumbuka nilivyokuwa mdogo nikienda uwanjani kufatilia mechi za chama langu la Belouzdad, historia inasema hizi mechi za ijumaa huwa tunaua kwa goli nyingi sana.

Kila la heri kwa wanangu CR Belouzdad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…