FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Sijaona comment yako kuhusu uzi wa yanga vipi uzi sio mzito kama wakipindi kile
20231122_205005.jpg
 
Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga sc
View attachment 2822882
Nakumbuka nilivyokuwa mdogo nikienda uwanjani kufatilia mechi za chama langu la Belouzdad, historia inasema hizi mechi za ijumaa huwa tunaua kwa goli nyingi sana.

Kila la heri kwa wanangu CR Belouzdad
 
Back
Top Bottom