makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
πHii michuano inataka magoli, haitaki pira supuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa akili yako unafikir Yanga anaweza kujimudu kwenye mechi ya Marudiano?Kumbuka hata 5imba mechi ya kwanza alipigwa msimu uliopita hata Yanga pia.
Wanaficha ushahidi wa nini ?Yanga wameingia na gloves hawataki kuacha fingerprints
Umeongea kitu kaka mkubwaUshabiki pembeni Hata yanga wakifungwa leo,Wanacheza soka zur Sana na ukiangalia unaona kabisa Hii timu Ina kitu flani japo scoreboard haiko upande wao.
Hii mechi yanga anafungwa kwa uzoefu tu.
Ni kweli, lakini pia siyo hivyo tuβ¦Pia kuna utofauti mkubwa sana wa marefa.Jamaa wana pira la mahesabu sana na ukabaji wao wa nidhamu ya hali ya juu
Ili baadaye wabishe kuwa sio wao maana ushahidi umepotezwaWanaficha ushahidi wa nini ?
Mbona mapema hivi90'π
Hata wee Robo hujawahi ya CL, ndo km leo hapa makundi na unaoneshwa huku sio level zako.Si ndio mwaka huu,we tulia nikifute hiki kichaka chenu cha robo ndicho kilicho bakia,ila ww KWA MUJIBU WA CAF (nazani commentator wa mechi ya fainal ulimsikia) hujawahi kushiriki fainal ya mashindano yoyote ya CAF.
Tulikwambia haya Mambo hayahitaji Kujifanya unajua na Shirikisho sio KILABU BINGUWAAAKumbuka hata 5imba mechi ya kwanza alipigwa msimu uliopita hata Yanga pia.
Baada ya kumchukua Max na Pacome naskia wakapewa Konkoni kama nyongezaHivi huyu jamaa Koni Koni Yanga Wamemtoa Wapi?
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»π€£Mbona mapema hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani hebu tulia kwani.Aisee heshimu nilichokwambia,niache,ungekua hapa nilipo ningekupiga hata kofi,useme mi siyo mstaarabu.Usini-quote tena.