FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Kumbuka hata 5imba mechi ya kwanza alipigwa msimu uliopita hata Yanga pia.
Kwa akili yako unafikir Yanga anaweza kujimudu kwenye mechi ya Marudiano?
Au unataka kusema watapata aggregate zaidi ya 2:3 ni kitu ambacho ni Ndoto sana...
Kwwnye lile group Yanga ni Timu ya Kujipigia
 
Dk za lala salama hizi.. uto uto uto.. jmn shots on target ngapi mnazo umbwaaaaa nyie
 
Jamaa wana pira la mahesabu sana na ukabaji wao wa nidhamu ya hali ya juu
Ni kweli, lakini pia siyo hivyo tu…Pia kuna utofauti mkubwa sana wa marefa.

Ingekuwa refa wa bongo Yanga ingeweza kushinda leo.

Refa akiwa bora, timu bora ndo inashinda.
 
Si ndio mwaka huu,we tulia nikifute hiki kichaka chenu cha robo ndicho kilicho bakia,ila ww KWA MUJIBU WA CAF (nazani commentator wa mechi ya fainal ulimsikia) hujawahi kushiriki fainal ya mashindano yoyote ya CAF.
Hata wee Robo hujawahi ya CL, ndo km leo hapa makundi na unaoneshwa huku sio level zako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbuka hata 5imba mechi ya kwanza alipigwa msimu uliopita hata Yanga pia.
Tulikwambia haya Mambo hayahitaji Kujifanya unajua na Shirikisho sio KILABU BINGUWAAA
gencraft_image_1700858910090-1.png
 
Aisee heshimu nilichokwambia,niache,ungekua hapa nilipo ningekupiga hata kofi,useme mi siyo mstaarabu.Usini-quote tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani hebu tulia kwani.
 
Back
Top Bottom