FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Kipigo cha 3-0 ugenini halafu nikicheki hapa naona Mechi inayofuata ni dhidi ya Al Ahly
yay-spying.gif
 
Tangu tar 5 nov leo ndio naona wanasimba wamefufuka.

Hayo ndiyo matokeo ya mpira. Yanga amepigwa na Ihefu mwaka huu na tunachukulia kawaida tu.

Ila sio mbaya maana watani wetu mmepata faraja baada ya yanga kufungwa
 
Back
Top Bottom