FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Kabla ya mechi kuisha mashabiki wa utopolo walikuwa wakisema "Yanga atashinda tu hii game"

. 90 zimeisha kwa kupigwa 3 Sasa wameanza kusema kwa Mkapa watapimpiga mkono
Wamecheza vizuri sana ni ugeni tu hivyo wapongezwe.

Hata wewe kama mara ya mwisho kuja jijini ni miaka 25 nyuma halafu ukashushwa pale kariakoo utakaribishwa tu na wenyeji na usipojikaza unaachwa mtupu.
 
Sasa tumebadili salaaaam.ukimuona utopolo kunja kidole gumball na kidole cha mwisho.vikatavyo baking ndo mpe salaaaaaaaam
 
Furaha yangu sio mida wote inaamuliwa kwa mimi kushinda.

Hata nikimuona Utopolo kafungwa hiyo kwangu ni ina maana kubwa sana yani inanitosha kuifanya siku yangu iwe nzuri .

Nilikuwa sina mpango wa kwenda uwanjani kesho ila nahisi kama kuna stimu kutoka uarabuni zimenijia
Mkuu tukutane kwa Mkapa jioni.
 
Wapi gamondi?
Wapi max nzengeli?
Wapi pakua zoazoa?
Wapi Aziza kei?
Wapi clement mchizi?
Wapi timu yenye kikosi kipana?
Hongereni kwa kufa kiume, goli 3-0 siyo nyingi.
Kama vipi fukuzeni huyo kocha kimeo, arudi kwao ajentina akauze madafu
Aucho leo kacheza,na Pacome kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yamepigwa yanajifariji kwamba yamecheza vizuri halafu huku huwa yanaicheka simba kuishia robo. Kweli utopolo ni utopolo tu.
 
Back
Top Bottom