Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Au sio?Ukuta umeenda na mafuriko,warudi tu shirikisho huku kwa wakubwa hawawexi
Wapi gamondi?
Wapi max nzengeli?
Wapi pakua zoazoa?
Wapi Aziza kei?
Wapi clement mchizi?
Wapi timu yenye kikosi kipana?
Hongereni kwa kufa kiume, goli 3-0 siyo nyingi.
Kama vipi fukuzeni huyo kocha kimeo, arudi kwao ajentina akauze madafu