cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Irudiweee? [emoji23][emoji23][emoji23]Ila yanga hawajafanya mazoezi tangu walipofika huko aljeria kwa sababu vifaa vyao vilirudi tena tanzania vilisahaulika basi ndo ivoo tena embu ngoja tuone inaweza mechi ikarudiwa hii