OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
aka wapika supuShadeeya Bantu Lady popote mlipo msijidhuru please....bado mnahitajika, haya ya Leo yatapita tu.
Tukutane kwa Mkapa inshaallah, Mnyama atawafuta machozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aka wapika supuShadeeya Bantu Lady popote mlipo msijidhuru please....bado mnahitajika, haya ya Leo yatapita tu.
Tukutane kwa Mkapa inshaallah, Mnyama atawafuta machozi.
Diara afungwagi magoli ya ksenge kama yalePepoo mpwaa lile
Hahaha. Wakanywe supu sasa washangilie.Wachonge na bango la pili 😂😂
Ina maana hata Madeama ya Ghana atashindwa kumfunga?Tunakumbushana tu: Miaka 25 iliyopita ambapo Yanga ilkiingia hatua ya makundi ligi ya mabingwa kwa mara ya mwisho, alivuta mkia kwenye kundi lao akiambulia pointi 2!!
Si mlitamba kuwa nyie mtaua waarabu leo, kwa nini tusicheke kwa kipondo cha mbwa mwizi mlichopewa na huyo mnyonge wenu 😂😂😂Tangu tar 5 nov leo ndio naona wanasimba wamefufuka.
Hayo ndiyo matokeo ya mpira. Yanga amepigwa na Ihefu mwaka huu na tunachukulia kawaida tu.
Ila sio mbaya maana watani wetu mmepata faraja baada ya yanga kufungwa
Ilikuwa haijapata kipimo halisiHii timu ndio tuliambiwa ina ukuta mgumu
Umfunge Benchika 5..Unachekesha madameTutamalizia hasira kwenu, hazitakua 5 tena itakua ni 10, mna maneno sana nyie😀
Tumewapa laanaTunakumbushana tu: Miaka 25 iliyopita ambapo Yanga ilkiingia hatua ya makundi ligi ya mabingwa kwa mara ya mwisho, alivuta mkia kwenye kundi lao akiambulia pointi 2!!
Kuanzia mchana nilikuwa kijiwe na washikaji,tulikuwa tunawaza tu watafungwaje,ni furaha sana nalala kwa amaniFuraha yangu sio mida wote inaamuliwa kwa mimi kushinda.
Hata nikimuona Utopolo kafungwa hiyo kwangu ni ina maana kubwa sana yani inanitosha kuifanya siku yangu iwe nzuri .
Nilikuwa sina mpango wa kwenda uwanjani kesho ila nahisi kama kuna stimu kutoka uarabuni zimenijia