FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Hata shirikisho yanga walianza kwa kufungwa ugenini,mechi zilizofuata tukawa tunatamani yanga apoteze,lakini mpaka final ndo akapoteza
Hii ni champion league na siyo shirikisho.
Mna miaka 25 ndiyo meweza kuingia makundi ya Champion League. Usichukulie kirahisi ndugu halafu hapo kwenye makundi wanatakiwa wapite timu 2 tu.
Usikariri kama itakavyokuwa shirikisho, angalia mpira mliocheza.
Mecheza vizuri sana ila matokeo yake ni magoli tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…