Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
We fainali ya shirikisho ulifika lini?Kumbuka hii ni Champion Leaugue na siyo shirikisho.
Kadri game inavyosonga ndivyo unakutana na timu bora zaidi.
Hao wazuri mbona wamepigwa 3-0?
Kwanza hao CR hawana medali wasiwababaishe
3-0
Mie hata hayo meno yake sikuyaona kwa kweli 😂 😂
Hii Yanga inayotoa dozi ya 5G leo hii ni ya kufungwa 3-0 kweli? Nalo hili mkalitizameGamondi atuachie team yetu
We fainali ya shirikisho ulifika lini?
Kama wakulima wa kahawa kule mlima MeruMax na Yao wana mwonekano wa kishamba, wamekaa kikulima mno acha wagongwe...
Uto Afadhali mumchukue mwinyi zuhura awe kocha mkuu. HalafuGamondi atuachie team yetu
Mara nyingine mi najiuliza kwa huu mwonekano huyu Nzengeli alitakiwa awe mkulima wa Tumbaku... Yaani fala fala flani hv
Kono la jaduCookie Moderator
Hivi lile tatizo la picha kutofunguka bado linaendelea?
View attachment 2823957
Tafadhali mtu yeyote atayeweza kuiona hii picha asisahau ku comment "seen" ili bodi ya wataalamu ijue kuwa tatizo hili limetatuliwa au bado
Inaonekana vizuri mkuuCookie Moderator
Hivi lile tatizo la picha kutofunguka bado linaendelea?
View attachment 2823957
Tafadhali mtu yeyote atayeweza kuiona hii picha asisahau ku comment "seen" ili bodi ya wataalamu ijue kuwa tatizo hili limetatuliwa au bado
[emoji2957][emoji2957]Ni leo tu mchana nilikumbuka nikasema ikifika saa 6 usiku Charles kilian ataanzisha thread ya mechi ya Yanga Vs Belouizdad. Lol
Ila, tafadhali jitahidi kuweka nyama kidogo. Kama historia ya hivyo vilabu kukutana, kila timu iko kwenye msimamo gani kwenye ligi iliyomo, na wachezaji wa kutazamwa kwa umakini.
Asante