FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Kumbuka hii ni Champion Leaugue na siyo shirikisho.
Kadri game inavyosonga ndivyo unakutana na timu bora zaidi.
Hao wazuri mbona wamepigwa 3-0?
Kwanza hao CR hawana medali wasiwababaishe
3-0
We fainali ya shirikisho ulifika lini?
 
Cookie Moderator
Hivi lile tatizo la picha kutofunguka bado linaendelea?

1700863301140.png


Tafadhali mtu yeyote atayeweza kuiona hii picha asisahau ku comment "seen" ili bodi ya wataalamu ijue kuwa tatizo hili limetatuliwa au bado
 
Ni leo tu mchana nilikumbuka nikasema ikifika saa 6 usiku Charles kilian ataanzisha thread ya mechi ya Yanga Vs Belouizdad. Lol

Ila, tafadhali jitahidi kuweka nyama kidogo. Kama historia ya hivyo vilabu kukutana, kila timu iko kwenye msimamo gani kwenye ligi iliyomo, na wachezaji wa kutazamwa kwa umakini.
Asante
[emoji2957][emoji2957]
 
Back
Top Bottom