FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

3G bila mnara.
20231125_074301.jpg

Wanatafuta mtandao
 
Yanga tunahitaji point 10 tu, na tutazipata bila wasi was wowote. kati ya point 8 au 9 hapo Lupaso, na point nyingine mbili huko Ughaibuni. Safari bado mbichi sana. Uzuri tumeanzia ugenini jamba ambalo ni jema kwetu. Siku wakija kwa Mkapa ni 5G bila huruma.
Al ahly na CR belouizdad wanakupiga nje ndani,
Wee utamuonea Medeama tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fifa imewahusu Yanga zaidi kwa vile ina wacheazji wa kutoka Mataifa mbalimbali. Nchi za Kiarabu huwa hazina wachezaji zaid ya watatau kutoka mataoifa ya nje, lakini vile vile ratiba yanchi zuzenye wacheazji wa Yanga ilikuwa tight sana kwa Yanga.

3G ni technolojia ya zamani sana, wengine sasa hivi tunaangalia 5G tu.
Kunywa maji mengi, moyo uelee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
..Apostle...kuna muujiza huku

Kuna nini?

...huyu dada Yanga toka atoke mbeya alikua haoni siku zake.

Nini kimetokea?

..alipokanyaga tu hapa Alger kaona siku zake Mara tatu zaidi.

Nani mtenda miujiza?

..Belouzidad..

Piga makofi kwa Belouzdad!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mmevurugwaa.
 
Back
Top Bottom