FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Jamani niwe mkweli sitaki unafiki asubui yangu imekua njemaaa sana labda ivurugwe jioni japo sitarajiii hilo kutokea...
Kwako studio peleka salamu zangu kwa maswahiba zangu watani zangu hawa
Charles kilian
@Mpedte
Labani og
Asante mtani wangu nipo beach hapa napata upepo huku natetemeka sana 🤣🤣😭😭😭😭😭😭
 
Unachezwa uwanjani; umeona jinsi ambavyo Yanga ilivyomiliki mpira ila ilifungwa kutokana na weakness katika positions muhimu kadhaa ambazo mastaa wa Yanga walikuwa wamechoka kutokana na mashindano ya FIFA na wengine hawakuweza kucheza kabisa kutoka na hiyo ratiba ngumu ya FIFA. Mchezo ujao wataikuta Yanga imekamilika na tutarudi hapa kuhabarishana matokeo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wamelambwa!
Halua halua halua... hehehehee
Screenshot_20231121-150354.jpg
 
Back
Top Bottom