Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Minyama ya ngamia labda πππKitaalamu tunasema waarabu wamejipakulia minyamaππ
Yacheza ile heavy duty, nimetamani kuingia uwanjani na pangaπ subiri waje watatujua.Ni shida soulimeti...
Maarabu yanacheza yamepania yale utafikiri sifa wakati yamejaza majini tupu uwanjani. Yakija huku lazima tuyakande wallahi πͺπͺπͺ
Yatatukoma wallahi!Yacheza ile heavy duty, nimetamani kuingia uwanjani na pangaπ subiri waje watatujua.
Soulimeti.
Bado hamjasema huku sio Ligi kuu Tanzania Baraπ€£π€£π€£π€£πππNi shida soulimeti...
Maarabu yanacheza yamepania yale utafikiri sifa wakati yamejaza majini tupu uwanjani. Yakija huku lazima tuyakande wallahi πͺπͺπͺ
Hii ni kweli? Ama editing
Upo classmate? Yani ulipoteaaaaa nimekuona nimekuonaaa....Mjukuu niwache!
Hata salamu yako siitikii mjukuu π¬
Nije huku Kalpana akiniona je? πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
View attachment 2824243
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna hatariiiiYes, tena ni lile likiingiza kiltu ni moto kinakwenda kimepinda kama ndizi!
Ila mi naogopa yasije yakatuabisha hata kwenye home landππYatatukoma wallahi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuu tulizanaa, nguvu unapata wapiii na mmepigwa 3? WoiiiiihNyie nichokozeni tu. Kitakachowapata hata Shadeeya na Antonnia watakuja kuwashangaa [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 2824253
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema kwelii??Ni shida soulimeti...
Maarabu yanacheza yamepania yale utafikiri sifa wakati yamejaza majini tupu uwanjani. Yakija huku lazima tuyakande wallahi [emoji123][emoji123][emoji123]
Ila mi naogopa yasije yakatuabisha hata kwenye home land[emoji3][emoji3]
Tulikuwa tumeyapania sana maarabu ndo maana yameweza kupindua meza πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema kwelii??
Ila mi naogopa yasije yakatuabisha hata kwenye home land[emoji3][emoji3]
Hilo lishapitwa na wakati achana naloWekeni lile lile la 5G bado liko valid[emoji3]
ππ½ππ½ππ½ππ½Bwanaa weee dakika za mwisho utopwinyo wakafanya comeback ya kibabe
Ahsante mtani, naona jana mmefurahi wenyeweπNimekumiss Mtani