Diazepam
JF-Expert Member
- Dec 3, 2020
- 1,263
- 3,523
Kwa hiyo kama walicheza mpira mzuri mwisho wa siku ikawaje?Belouzidad si wanepiga counter tu,wamecheza mpira gani!?..Bora hata marumi walicheza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kama walicheza mpira mzuri mwisho wa siku ikawaje?Belouzidad si wanepiga counter tu,wamecheza mpira gani!?..Bora hata marumi walicheza
Mtalala na viatu , subiri muone[emoji3]
imeisha hioWekeni lile lile la 5G bado liko valid😀
Aziza kafanyaje tena?
Mazoezi yenyewe wanayofanyishwa ni haya unategemea nini kama si kupasuliwa tuKwan Yanga counter hawaziwezii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ndio Ivo basi kila timu ingekuwa inashinda kwa counter attack!Counter ni mchezo wa wasioweza/wasiojiamini
Kama mlivyotufanyia jana, subiri mimi leo siwashabikii, tena mfungwe zaidi ya ile 5G😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi ni ndugu!!! Jana kuna jamaa nimekaa nae wa yanga nikaona anaanza kutukana nikamuhama maana alikuwa nakunywa kvant nikajua kifuatacho hapa napiga chupa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo tuwe pamoja watz kuishangalia team ya taifa
Una maana wanakimbia wakiwa wamepanua miguu kama wametoka kutahiriwa ?Mazoezi yenyewe wanayofanyishwa ni haya unategemea nini kama si kupasuliwa tuView attachment 2824535
Anajiandaa kucheza klabu bingwa dunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa yuko wapi sahivi?
Rage alikua sahihi,wengi wenu mbumbumbuKama ndio Ivo basi kila timu ingekuwa inashinda kwa counter attack!
Hizo ni plan za waarabu bhana, cheza mpira mwishowe kichapo kipo palepale
Kama mlivyotufanyia jana, subiri mimi leo siwashabikii, tena mfungwe zaidi ya ile 5G[emoji3][emoji3]
Aiseee atakuwa bado kazimia 🤣🤣🤣🤣Kapoteaa mtanii simuoni kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe wewe mnyamaaaa...duh sasa siku ile umekula tano sii mpaka tako likapungua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aibu nimeona mie,
Maana si kwakujigamba kule[emoji23]
This is the champions league mannn...🤣🤣🤣🤣.3G bila mnara.
I need financial tutorials.. can u assist me on this?Ahsante mtani, naona jana mmefurahi wenyewe😀
We jamaa mtabiriMwenyeji ataibuka mshindi usiopungua goli 3
I can , karibu mkuuI need financial tutorials.. can u assist me on this?