FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Mtalala na viatu , subiri muone[emoji3]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi ni ndugu!!! Jana kuna jamaa nimekaa nae wa yanga nikaona anaanza kutukana nikamuhama maana alikuwa nakunywa kvant nikajua kifuatacho hapa napiga chupa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo tuwe pamoja watz kuishangalia team ya taifa
 
Kwan Yanga counter hawaziwezii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mazoezi yenyewe wanayofanyishwa ni haya unategemea nini kama si kupasuliwa tu
IMG_1655.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi ni ndugu!!! Jana kuna jamaa nimekaa nae wa yanga nikaona anaanza kutukana nikamuhama maana alikuwa nakunywa kvant nikajua kifuatacho hapa napiga chupa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo tuwe pamoja watz kuishangalia team ya taifa
Kama mlivyotufanyia jana, subiri mimi leo siwashabikii, tena mfungwe zaidi ya ile 5G😀😀
 
Back
Top Bottom