Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Minyama ya ngamia labda 😁😁😁Kitaalamu tunasema waarabu wamejipakulia minyama😁😁
Inaumaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Minyama ya ngamia labda 😁😁😁Kitaalamu tunasema waarabu wamejipakulia minyama😁😁
Yacheza ile heavy duty, nimetamani kuingia uwanjani na panga😀 subiri waje watatujua.Ni shida soulimeti...
Maarabu yanacheza yamepania yale utafikiri sifa wakati yamejaza majini tupu uwanjani. Yakija huku lazima tuyakande wallahi 💪💪💪
Yatatukoma wallahi!Yacheza ile heavy duty, nimetamani kuingia uwanjani na panga😀 subiri waje watatujua.
Soulimeti.
Bado hamjasema huku sio Ligi kuu Tanzania Bara🤣🤣🤣🤣😂😂😂Ni shida soulimeti...
Maarabu yanacheza yamepania yale utafikiri sifa wakati yamejaza majini tupu uwanjani. Yakija huku lazima tuyakande wallahi 💪💪💪
Hii ni kweli? Ama editing
Upo classmate? Yani ulipoteaaaaa nimekuona nimekuonaaa....Mjukuu niwache!
Hata salamu yako siitikii mjukuu 😬
Nije huku Kalpana akiniona je? 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
View attachment 2824243
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna hatariiiiYes, tena ni lile likiingiza kiltu ni moto kinakwenda kimepinda kama ndizi!
Ila mi naogopa yasije yakatuabisha hata kwenye home land😀😀Yatatukoma wallahi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuu tulizanaa, nguvu unapata wapiii na mmepigwa 3? WoiiiiihNyie nichokozeni tu. Kitakachowapata hata Shadeeya na Antonnia watakuja kuwashangaa [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 2824253
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema kwelii??Ni shida soulimeti...
Maarabu yanacheza yamepania yale utafikiri sifa wakati yamejaza majini tupu uwanjani. Yakija huku lazima tuyakande wallahi [emoji123][emoji123][emoji123]
Ila mi naogopa yasije yakatuabisha hata kwenye home land[emoji3][emoji3]
Tulikuwa tumeyapania sana maarabu ndo maana yameweza kupindua meza 😁😁😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema kwelii??
Ila mi naogopa yasije yakatuabisha hata kwenye home land[emoji3][emoji3]
Hilo lishapitwa na wakati achana naloWekeni lile lile la 5G bado liko valid[emoji3]
🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽Bwanaa weee dakika za mwisho utopwinyo wakafanya comeback ya kibabe
Ahsante mtani, naona jana mmefurahi wenyewe😀Nimekumiss Mtani