Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna uchawi katika Israel ila Bongo upoMechi itaisha draw ya 1 kwa 1.
Acha kukariri maisha wewe.Waarabu wakianzia kwao huwa wana nafuu kuzidi wakianzia kwetu, All the best Yanga.
Live Highlights mtazipata hapa siku ya mechi comment nambari 3
Mwarabu hachomoi hapoDiarra, Yao kwasi, d.job,bacca,lomalisa,aucho, mudathir, pacome fundi professor mtu na nusu, Aziz k mnyama mtu na mpira wake, max zengeli kijana ambaye hajaanza mapenzi, musonda!!!
All the best wananchi
Khamsa, khamsa.Hivi 7 kwa kiarabu inaitwaje vile!! Kuna watu 7 inawahusu, sina sababu ya kuwataja maana wanajifahamu!!
MTAKIMBIANA LEO🤣🤣🤣Max nzengeli lazima akiwashe leo
Yule bado hajaanza mapenzi!
Atawasha fegiMax nzengeli lazima akiwashe leo
Yule bado hajaanza mapenzi!
Haifungi goal kule. Iishe sare kivipi yaani? Mnajikuta tu mnajua sana mnafikiri ile na nbcl au uwanja wenu nyumbani na ugeniniduuh watu mko chaaap ila hii mechi inaisha kwa sare ya bao 1-1 wakuu tunzeni haya maneno yanga ataanza kushinda jamaa watchomoa baadae sana
Kuchezea timu ya taifa sio kama club kwenye club lazima acheze kwa kiwango chake maana mlungula upo,Sasa ukaumie kitaifa mechi zenyewe Moja leo inayofuata mpaka mwakani na ukiumia Sasa...Wakuu, naona kama marking ya Bakari Nondo kuna namna imepungua, sio kisiki kama msimu uliopita na mwanzoni kwa msimu huu.
Ile mechi ya Stars kulikuwa na makosa yake mengi tu, nimepata hofu juu yake sana na ni moja kati ya wachezaji wangu pendwa pale kikosini.
Au ni wasiwasi wangu tu?
1. WahdaHivi 7 kwa kiarabu inaitwaje vile!! Kuna watu 7 inawahusu, sina sababu ya kuwataja maana wanajifahamu!!