FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

IMG-20231123-WA0097.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diarra, Yao kwasi, d.job,bacca,lomalisa,aucho, mudathir, pacome fundi professor mtu na nusu, Aziz k mnyama mtu na mpira wake, max zengeli kijana ambaye hajaanza mapenzi, musonda!!!

All the best wananchi
Mwarabu hachomoi hapo
 
Wakuu, naona kama marking ya Bakari Nondo kuna namna imepungua, sio kisiki kama msimu uliopita na mwanzoni kwa msimu huu.

Ile mechi ya Stars kulikuwa na makosa yake mengi tu, nimepata hofu juu yake sana na ni moja kati ya wachezaji wangu pendwa pale kikosini.

Au ni wasiwasi wangu tu?
 
simba sports club ni mnyama sana.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Alafu utopolo wanasema mbunifu wao ni hatari.HAMNA KITU HAPO KELELE TU Za yaani jezi inabebwa kwa maneno
 
Attachments

  • FB_IMG_1700798066090.jpg
    FB_IMG_1700798066090.jpg
    70.4 KB · Views: 7
Wakuu, naona kama marking ya Bakari Nondo kuna namna imepungua, sio kisiki kama msimu uliopita na mwanzoni kwa msimu huu.

Ile mechi ya Stars kulikuwa na makosa yake mengi tu, nimepata hofu juu yake sana na ni moja kati ya wachezaji wangu pendwa pale kikosini.

Au ni wasiwasi wangu tu?
Kuchezea timu ya taifa sio kama club kwenye club lazima acheze kwa kiwango chake maana mlungula upo,Sasa ukaumie kitaifa mechi zenyewe Moja leo inayofuata mpaka mwakani na ukiumia Sasa...
 
Back
Top Bottom