Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Alaaah. Dj tuletee matokeo ya arabuniiiii.asumaaaaaaaniiii
DJ anaanza na ya nov 5 😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alaaah. Dj tuletee matokeo ya arabuniiiii.asumaaaaaaaniiii
Hii imepitwa na wakati tunaenda na trending, hiyo ishapotea mtaani kuna hii mpya leo
Sent using Jamii Forums mobile app
SeenCookie Moderator
Hivi lile tatizo la picha kutofunguka bado linaendelea?
View attachment 2823957
Tafadhali mtu yeyote atayeweza kuiona hii picha asisahau ku comment "seen" ili bodi ya wataalamu ijue kuwa tatizo hili limetatuliwa au bado
Mtt wa kike em nipe mchezo.. nikutoe stressTutamalizia hasira kwenu, hazitakua 5 tena itakua ni 10, mna maneno sana nyie😀
Naona jezi hapo kama simba na yanga.Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga SC.
YANGA YAANZA VIBAYA MAKUNDI CAF, YAPIGWA 3-0 UGENINI
Ikicheza kwenye Uwanja wa Stade du 5 Juillet Nchini Algeria, Yanga imeshindwa kutamba baada ya kukubali kichapo cha magoli 3-0 dhidi ya CRBelouizdad katika mchezo wa Kundi D kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika inayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF)
Magoli yamewekwa wavuni na Abdelraouf Benguit (10), Abderrahmane Meziane (45) na Lamin Jallow (90)
Mchezo ujao, Yanga itaikaribisha AlAhly ya Misri kwenye Uwanja wa Mkapa, Desemba 2, 2023
Uto mwingine huyu hapa!! analinganisha kombe la losers/wavulana na la wanaume!!.Hata shirikisho yanga walianza kwa kufungwa ugenini,mechi zilizofuata tukawa tunatamani yanga apoteze,lakini mpaka final ndo akapoteza
Utatuomba msamaha kwa utabiri mbovu?Mechi itaisha draw ya 1 kwa 1.
Chenga safi kutoka kwa Mudathir
View attachment 2823834