FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Alaaah. Dj tuletee matokeo ya arabuniiiii.asumaaaaaaaniiii
20231124_235103.jpg

DJ anaanza na ya nov 5 😃
 
Mashabiki wa yanga ndo wanajifanya kujizima data tu, lakini viongozi wao wanajua kuwa caf champions league ni maji marefu kwao. Ndio maana malengo yao yalikuwa ni kufika hatua ya makundi tu na si vinginevyo!!.
 
Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga SC.
YANGA YAANZA VIBAYA MAKUNDI CAF, YAPIGWA 3-0 UGENINI

Ikicheza kwenye Uwanja wa Stade du 5 Juillet Nchini Algeria, Yanga imeshindwa kutamba baada ya kukubali kichapo cha magoli 3-0 dhidi ya CRBelouizdad katika mchezo wa Kundi D kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika inayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF)

Magoli yamewekwa wavuni na Abdelraouf Benguit (10), Abderrahmane Meziane (45) na Lamin Jallow (90)

Mchezo ujao, Yanga itaikaribisha AlAhly ya Misri kwenye Uwanja wa Mkapa, Desemba 2, 2023
Naona jezi hapo kama simba na yanga.

Poleni sana vyura.
 
Back
Top Bottom