FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Unachezwa uwanjani; umeona jinsi ambavyo Yanga ilivyomiliki mpira ila ilifungwa kutokana na weakness katika positions muhimu kadhaa ambazo mastaa wa Yanga walikuwa wamechoka kutokana na mashindano ya FIFA na wengine hawakuweza kucheza kabisa kutoka na hiyo ratiba ngumu ya FIFA. Mchezo ujao wataikuta Yanga imekamilika na tutarudi hapa kuhabarishana matokeo.
Fifa imewahusu yanga tu mzee baba hau 3G haiwahusu
 
Tunaiweka maktaba
 
Fifa imewahusu yanga tu mzee baba hau 3G haiwahusu
Fifa imewahusu Yanga zaidi kwa vile ina wachezaji wa kutoka Mataifa mbalimbali. Nchi za Kiarabu huwa hazina wachezaji zaidi ya watatu kutoka mataifa ya nje, lakini vile vile ratiba ya nchi zenye wachezaji wa Yanga ilikuwa tight sana kwa Yanga.

3G ni technolojia ya zamani sana, wengine sasa hivi tunaangalia 5G tu.
 
Yanga tunahitaji point 10 tu, na tutazipata bila wasi was wowote. kati ya point 8 au 9 hapo Lupaso, na point nyingine mbili huko Ughaibuni. Safari bado mbichi sana. Uzuri tumeanzia ugenini jamba ambalo ni jema kwetu. Siku wakija kwa Mkapa ni 5G bila huruma.
Ongea bila kulia mzee
 
Fifa imewahusu Yanga zaidi kwa vile ina wacheazji wa kutoka Mataifa mbalimbali. Nchi za Kiarabu huwa hazina wachezaji zaid ya watatau kutoka mataoifa ya nje, lakini vile vile ratiba yanchi zuzenye wacheazji wa Yanga ilikuwa tight sana kwa Yanga.

3G ni technolojia ya zamani sana, wengine sasa hivi tunaangalia 5G tu.
Nini 5G, tarehe 2 December Al ahly anampiga mtu 6G
 
Back
Top Bottom