Mamelodi sundowns nae kapigwa na Orlando pirates juzi kwenye kombe la FA south Africa so jiandaeni vizuriNdani ya siku hizi mbili Yellow nation tumekuwa na wakati mgumu sana Jana Al Nasr kapigwa na Mda si mrefu Dortmund kapigwa Sasa ni Yanga pekee kwenye Yellow nation duniani aliebaki kuokoa jahazi
Yah Nedbank cup dah huu mwelekeo sielewi kabisa ila all is well lazima tupambaneMamelodi sundowns nae kapigwa na Orlando pirates juzi kwenye kombe la FA south Africa so jiandaeni vizuri
Umesahau Mamelody Jana?Ndani ya siku hizi mbili Yellow nation tumekuwa na wakati mgumu sana Jana Al Nasr kapigwa na Mda si mrefu Dortmund kapigwa Sasa ni Yanga pekee kwenye Yellow nation duniani aliebaki kuokoa jahazi
yule sio mtoto yule ni peremende...
NdioGame ni leo
[emoji23][emoji23][emoji23]mapema mnoNimeshtuka. Kumbe sahivi tayari ni 2nd june.
Na mamelodi kapigwa pia janaNdani ya siku hizi mbili Yellow nation tumekuwa na wakati mgumu sana Jana Al Nasr kapigwa na Mda si mrefu Dortmund kapigwa Sasa ni Yanga pekee kwenye Yellow nation duniani aliebaki kuokoa jahazi
Nimepoteza Imani sana maombi yangu kwa Sasa ni Guede na Mzize waanze pale mbele na nafasi hata Moja isipotezwe game ikiwa inaanza Azam huwa hawako makini 0-2 inatoshaNa mamelodi kapigwa pia jana
Azam anakufa 3-0Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye dimba la New Amaan Complex, Zanzibar
Je, nini kitatokea katika mtanange huo wa kukata na shoka?
Kuwa nami hapa kuanzia Mwanzo, Katikati na Mwisho wa mechi hii
#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikisho #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #TFF #AzamFC #YangaSC #AzamvsYanga
Na kiwake tuNdio
Muda gani tafadhaliSikubaliani
Subiri napo mlambishwe ice cream