Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
All the best timu kubwa๐๐๐Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye dimba la New Amaan Complex, Zanzibar
Je, nini kitatokea katika mtanange huo wa kukata na shoka?
Kuwa nami hapa kuanzia Mwanzo, Katikati na Mwisho wa mechi hii
#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikisho #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #TFF #AzamFC #YangaSC #AzamvsYanga
๐คฃ๐คฃ๐คฃjmnSaa tatu tukutane kule "kihasibu"
Ball saa 2Saa tatu tukutane kule "kihasibu"
Saa tatu tunafanya tathmini kihasibuBall saa 2
๐๐๐ญ๐จ๐ค๐๐จ ๐๐๐๐จ ๐ฆ๐๐๐ง๐ ๐ฆ๐๐๐ก๐ข ๐ก๐๐ข๐ฃ๐๐๐ง๐ณ๐matokeo?
๐๐๐ 2:15 ๐ฎ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎMuda gani tafadhali
๐๐๐ก๐๐ก๐๐ก๐Saa tatu tukutane kule "kihasibu"
wahuni sio watuSaa tatu tunafanya tathmini kihasibu
Azam hawawezi onyesha hili kombe la mbuzi tuChannel ipi ya Azam wanaonesha?
AZAM SPORTS 1 HDChannel ipi ya Azam wanaonesha?
Asante๐๐๐ 2:15 ๐ฎ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ
Poa mkuuAsante