so ur point is? bwana wewe mpira ni mchezo wa 100 x 70 sio 6 x 6, we can seee. sasa kama unakubali kuwa keeper kachomoa michomo mingi inakuwaje tena hastahili man of the match maana bila yeye tungekuwa tunaongea mambo ya mkonoUkiita uhuni kumbuka Azam hawajapiga on target hata Moja na Leo Aucho hakuwa poa pasi nyingi ziliharibika Bacca aka clear wangeshinda Azam Kipa angekuwa ila vile yanga wameshinda Bacca amestahili beki ya Azam ilikuwa wazi ndio maana Kipa wao kaonekana mkali ila beki ya Yanga ilikuwa sold ndio maana Diara hajawa na kazi kubwa
Na Bacca ka clear nyingi bila yeye Silla angetamba so my point is anastahili kuwa man of the matchso ur point is? bwana wewe mpira ni mchezo wa 100 x 70 sio 6 x 6, we can seee. sasa kama unakubali kuwa keeper kachomoa michomo mingi inakuwaje tena hastahili man of the match maana bila yeye tungekuwa tunaongea mambo ya mkono
Mpira wake umetua saiviNa Bacca ka clear nyingi bila yeye Silla angetamba so my point is anastahili kuwa man of the match
na keeper kaokoa michomo miwili so anastahili kuwa man of the matchNa Bacca ka clear nyingi bila yeye Silla angetamba so my point is anastahili kuwa man of the match
Kapewa Baccana keeper kaokoa michomo miwili so anastahili kuwa man of the match
yule jamaa hajiu kupiga penalty yaani ata sauz alifanya vile vile jaama kulenga goli ni tabuMpira wake umetua saivi
exacltyKapewa Bacca
Sijakaa muda wote wa mechi, naumwaaaaaaaa! Leo tungelala kweli tungelikosa kombe?
Mimi na rafiki yangu zile penalties tulikuwa tunaenda kujificha zikishapigwa tunarudi.Mi nguvu ziliniishia kila nikichungulia bila bila
Nashukuru sana kiongoziUmeitendea haki hii mechi. Umerepot mwanzo mwisho. Asante
Chief hangaya hujamboAzam asiposhinda niitwe samia
ona hili.Azam asiposhinda niitwe samia
samia huyoππona hili.
Huyu dogo jana hadi medali kasusa kuja kuchukua ππ€£π€£πWapi feisal salum π
Wapi friends of feisal salum.
This is Yanga bhana ππππView attachment 3007029
Kizimkazi πππAzam asiposhinda niitwe samia
Mataji 2 tu msimu mzima tena kwa kubahatisha bahatisha! Huyu Gamondi si kocha, bora tuachane naye.
Roho imekuuma sana wewe shabiki wa msimbazi aka shirikisho scweekenge mpira waushindani ukowapi hapo?