so ur point is? bwana wewe mpira ni mchezo wa 100 x 70 sio 6 x 6, we can seee. sasa kama unakubali kuwa keeper kachomoa michomo mingi inakuwaje tena hastahili man of the match maana bila yeye tungekuwa tunaongea mambo ya mkonoUkiita uhuni kumbuka Azam hawajapiga on target hata Moja na Leo Aucho hakuwa poa pasi nyingi ziliharibika Bacca aka clear wangeshinda Azam Kipa angekuwa ila vile yanga wameshinda Bacca amestahili beki ya Azam ilikuwa wazi ndio maana Kipa wao kaonekana mkali ila beki ya Yanga ilikuwa sold ndio maana Diara hajawa na kazi kubwa