FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

Ukiita uhuni kumbuka Azam hawajapiga on target hata Moja na Leo Aucho hakuwa poa pasi nyingi ziliharibika Bacca aka clear wangeshinda Azam Kipa angekuwa ila vile yanga wameshinda Bacca amestahili beki ya Azam ilikuwa wazi ndio maana Kipa wao kaonekana mkali ila beki ya Yanga ilikuwa sold ndio maana Diara hajawa na kazi kubwa
so ur point is? bwana wewe mpira ni mchezo wa 100 x 70 sio 6 x 6, we can seee. sasa kama unakubali kuwa keeper kachomoa michomo mingi inakuwaje tena hastahili man of the match maana bila yeye tungekuwa tunaongea mambo ya mkono
 
Na Bacca ka clear nyingi bila yeye Silla angetamba so my point is anastahili kuwa man of the match
 
Wapi feisal salum 😎

Wapi friends of feisal salum.

This is Yanga bhana 💛💚💛💚
FB_IMG_17173651692411935.jpg
 
Back
Top Bottom