FT: CS Sfaxien FC 0-1 Simba SC | CAF CC | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 05.01.2025

FT: CS Sfaxien FC 0-1 Simba SC | CAF CC | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 05.01.2025

Mkuu sitaki mazoea na uto kwenye uzi wa mnyama mkali.
20240912_085933.jpg
 
Sina matumaini kabisa, maana Hata tukimiliki mchezo huwa tunafugwa tu.
 
Simba natafuta hela ya service over 1.5 ni muhimu kuliko maushindi yenu hayo

Piganeni vyuma viwili nichukue hela kama jana yanga
 
Ateba wowowooo aanze pengine atawapumbuza mabeki wasikabe vizuri kwa kushangaa wowowo likibiringika..
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom