FT: CS Sfaxien FC 0-1 Simba SC | CAF CC | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 05.01.2025

FT: CS Sfaxien FC 0-1 Simba SC | CAF CC | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 05.01.2025

Guvu Moyaaaa!!
Mpira ulichezwa jana! Leo tuna hangover sidhani kama tutaona vizuri.
Marefa hawatahongeka huko ni kichapo tu leo. Simba ikipata droo mniite!!
Lolote liwakute kolowizards!!
Andika mstari mmoja tuu kijana..mbona kama mipasho?
 
Ile ya jana ilikua ni gusa achia tulale na wazembe...
Leo ndo mechi ya baba lao wa Tanzania...
Jana Champion 🏆 Ilikuwa game tyt.
Yanga waliweza tu kung'amua mtego
 
Back
Top Bottom