inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Nilikua nafuatilia mpira kipindi hicho,ambapo inawezekana ulikua hujazaliwa,na ule mchezo wa kutoka na mipira 30 hapa,mkirudi na mpira mmoja,yakazuka maneno kwamba Kuna vitu vinawekwa ndani ya mpira kwenda kuuzwa nje,1995 akina dewji wakaiacha timuPole kwa kutafuta visingizio.