FT: Dodoma Jiji 0-2 Yanga / Uwanja wa Jamhuri / Dodoma / Ligi Kuu Bara

FT: Dodoma Jiji 0-2 Yanga / Uwanja wa Jamhuri / Dodoma / Ligi Kuu Bara

Ushindi wa leo ni reminder kwa makolo kuwa Yanga ni bingwa 2021/2022
 
Yaan baada ya mechi hiyo mda kama huu Pablo kutoka Real Madrid atakuwa na ticket yake ya kuelekea Spain.

Sisi atukupigi nyingi kama Ngao biashara imeisha.
Tutakutana kwenye uzi wa siku hiyo nabi na kaze wakiwa airport.
 
Kipa Wa Dodoma Jiji Anavyolia " Kumbe Mauya Na Ambundo Waoongooo...Mi Nilijua Wanatoa Pasi Kumbe Wanapiigaa..Wametaka Kunitoa Roho Yangu [emoji24][emoji24], Mama Kwann Umenizaa Mapema Lakinii Hihihiiiiiiii! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]"
 
Back
Top Bottom