3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
katetema chooni alipokuw anajipgia bao la mkonoMayele vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katetema chooni alipokuw anajipgia bao la mkonoMayele vipi
Pole kwa kutafuta visingizio.1993 Simba alipofika fainali,timu nyingi zilijitoa njiani kwa kukosa nauli ya kuja dar
PSG na man city ni timu bora ila hazijafanikiwa bado kubeba ucl. Simba ndio hivyohivyo.Yaan ushindi ni robo fainal hahahaha
Simba caf ametolewa juzi hapa robo fainali.Simba wa caf alicheza mechi mbili champions ligi akatolewa,yanga wa hovyo alicheza mechi mbili akatolewa
Akakutoa sh ngapi?kipa kapewa laki 8
Robo fainali ya kitu gani?Simba caf ametolewa juzi hapa robo fainali.
Kama hujui basi hujui tu.Robo fainali ya kitu gani?
Jamaa kazungumzia champions league wewe unazungia robo fainali ya confederation cupKama hujui basi hujui tu.
Tunazungumzia Simba ya caf.Jamaa kazungumzia champions league wewe unazungia robo fainali ya confederation cup
Basi nimpe kongole huenda wao ndio wameicopy kwake hapa jfAliandika kabla hata ya mapumziko
Basi nikupe hongera, umesema kilicho akilini mwa watu wengi.Mimi sisikilizi wachambuzi naangalia mwenyewe replay ndo najua kilitokea nini.mimi mwenyewe mchambuzi.
Na Manula alipewa shiling ngapi alivyofungwa zile mechi 2?kipa kapewa laki 8
Iliyobeba kombe la robo fainaliTunazungumzia Simba ya caf.
kipa wa Dodoma jiji kapewa laki 8 kuingiza goli. laki 2 atamaliziwa baada ya matokeoNa Manula alipewa shiling ngapi alivyofungwa zile mechi 2?
Basi Aishi Manula inaonekana alipewa pesa ndefu sana katika mechi Mbeya city & Kagerakipa wa Dodoma jiji kapewa laki 8 kuingiza goli. 1.2m atamaliziwa baada ya matokeo
NdioIliyobeba kombe la robo fainali