3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Dk ya ngapi wakuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mijitu imejaa unazi wa kijinga sana halafu inajiita mi great thinker.Wapakwa mafuta ya Pdidy wabishi sana
bebwa bebwaa🤣Watu sijui hawajui sheria za soka, mtu kakatwa ndani ya 18 hlf eti sio penati khaaa. Sijui hawaoni au ni kusudi
Wanapenda kujitoa fahamuUtawaweza utopolo basi.
Mechi haikuwa na washika vibendera?umesahau offside zenu za juzi kwa Azam🤣
Sasa kama tuna wapiga penati wasomi kwanini tusipewe penati?Bila penati hawawezi hawa
FCbeba bebwa!
Hamna penalty pale, kolo kabebwa hilo liko wazi .İle ni penalty uwe unatizama hata premier league
Hebu hamia kwenye rede na kombolelaWatu sijui hawajui sheria za soka, mtu kakatwa ndani ya 18 hlf eti sio penati khaaa. Sijui hawaoni au ni kusudi
Peleka ombi FIFAKuwe na panga pembeni ya uwanja
Poleeee wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umesahau offside zenu za juzi kwa Azam[emoji1787]
Nabebekakwa nini ubebwe sasa
WatulieUtopolo wameumizwa na penati kuliko Dodoma jiji🤷