FT: Dodoma Jiji FC 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 29.09.2024

Hamna penalty pale, kolo kabebwa hilo liko wazi .
Shabiki mandazi. Naona Chama amekuwa tegemeo lenu utopolo.

Mlivyokuwa na akili mbovu mkasema Pacome bora. Sasa chama ndo tegemeo.

Yule jamaa hakukosea kuhusu watu wawili tu huko kwenu.
 
Tunaongelea goli la mchongo, hao kina chama na pakome ndio kina nani hapo masimbazi?
 
Wewe hujui unaweza kucheza foul hata baada ya kuucheza mpira?

Hata ukigusa mpira kwanza ukimuodoa stand mpinzani ni foul. Nukta.

Endelea kujifunza.
 
Hamna foul pale wewe kijana, dogo kacheza boli chezaji lenu likajirusha kama kiroba.
Refa kuona vile akaona enheee hii ndo fursa ya kulamba laki tano toka kwa tajiri, chap akafunika tuta.
 
Ile mechi wewe uliitizama kupitia kitu ama device gani?
 
Back
Top Bottom