Hana sub nzuri ama hana wachezaji wazuri nje?!Kocha hana sub nzuri
PwentiHana sub nzuri ama hana wachezaji wazuri nje?!
Kweli tumepiga hatua, ila wachezaji wazuri wanaoweza kucheza na kufuata maelekezo ya mwalimu hatuna kabisa.
Ligi yetu inabebwa na wachezaji wa kigenj.
Ligi yetu iko juu, swala hapa ni benchi bovu la ufundi.Hana sub nzuri ama hana wachezaji wazuri nje?!
Kweli tumepiga hatua, ila wachezaji wazuri wanaoweza kucheza na kufuata maelekezo ya mwalimu hatuna kabisa.
Ligi yetu inabebwa na wachezaji wa kigenj.
Ipo juu sababu ya wachezaji wa kigeni. Wazawa bado sana na kibaya hawaonyeshi kujali katika hilo.Ligi yetu iko juu, swala hapa ni benchi bovu la ufundi.
Hahaa,Atoke tu naona anakimbia kama mende hapa 😂 😁
AzamKatokea Wapi?
Wanatumia cameraz a simuYaani tunaangalia kishingo upande. Picha mbovu kabisa. Imenikumbusha enzi za CTN.
Kwa Sub ya Saadun mhhhILa Watanzania..!
Lawama zitarudi Kwa Makocha
Kafanyeje🤣🤣🤣 Saadun