FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

DRC wa kawaida sana mbele ya Taifa Stars, yaani hata wao wameshindwa kushangilia, sbb wanajua kabisa hii mechi ni kama draw tu, sasa tunawasubiria kwa Mkapa Stadium tar 15 Oct..!! Hawa wakongo kwa Mkapa hawatoki hata kidogo.
Sawa mkuu
 
Hata kama STARS wakifungwa leo...cjaumia coz tumepishana vizuri na DRC...
GOOD DEFENDING, midfield...
Makosa ya goal siwezi kuwavunja moyo...
Bado tuna mambo ya mmetufunga lakini chenga twawala. Hii timu kufunga magoli hatuwezi kabisa siku hizi. Nadhani tufungue academy moja ya washambuliaji tu tuzalishe kizazi kipya cha washambuliaji.
 
Sawa mkuu


Walishalegea sana tena ni kwao, wamepgopa sana Taifa Stars, umeona jinsi Wakongo hawashangilii wanatoa mimacho kwa uoga, wakija kwa Mkapa tunapiga na kuwapoteza..!! Tunapiga miguu wataacha kwa Mkapa…. Aaaaarrrghhhrrrrr🤬🤬😡😡👺👺👹👹
 
Msiwe mnaleta kina Samata Wana mikosi na ni liability kwenye Timu,huyo atimuliwe kabisa
 
Kuwa na akiba ya maneno, timu yako yenyewe haiwezi kufunga goli zaidi ya 1. Yaani njemba zinajiita kabisa washambuliaji tena mapro zinakimbiakimbia tu kwa lisaa na nusu zinatoka kapa
 
Inshallah iwe kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…