Mzee Rufiji
JF-Expert Member
- Aug 24, 2024
- 261
- 395
Mbona tumefunga goli sisi afu wanapewa ushindi congo jaman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walitangaza wataonyesh lkn saizi wameweka miziki tu hakuna mpiraHiyo Channel inaonesha mpira kwa quality ya chini sana. Likifungwa goli huwezi kujua limeingiaje. Kwa ujumla hata huwezi kuinjoy.
Bacongolee tuko pamoya,Bana ba Congo tujuane
hivi ni mimi tu naliona pengo la msuva? hasa kwa mpira ule mzize alitengeneza.Alhamis ya leo Oktoba 10, Taifa Stars itakuwa dimba la ugenini ikicheza na DRC, mchezo wa kuwania kufuzu fainali za AFCON 2025 nchini Morocco. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku
Pia soma ~ Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo
Updates.....
Kipindi cha kwanza cha mchezo kimeanza
Dakika, 9 Mpira upo kasi sana na bado milango ni migumu kwa pande zote mbili
Dakika, 17 Ngoma bado ngumu si Mwenyeji DRC wala si Tanzania
Dakika, 30 Si Stars wa DRC ambaye amepata goli mchezo upo on fire
Dakika 45 za kipindi cha kwanza kimetamatika DRC 0-0
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika, 53 Gooooli DRC wanapata goli la kuongoza
Dakika, 58 Taifa Stars wanafanya mabadiliko anatoka Kibu anaingia Saduni
Dakika, 70 Taifa Stars wanatengeneza nafasi na kumiliki mpira
Jamani Goli si ameshinda Mchezaji wetu wa Gongowazi ? Inakuwaje Bado tuna Sifuri hapo ndugu Admini ?Ningeshangaa mchezaji wa utopolo asitoe boko
Mi mwenyewe nashangaa, refa itakuwa kahongwaMbona tumefunga goli sisi afu wanapewa ushindi congo jaman
Amini kwambaNakuombea
inawezekana ni masharti ya mganga ya Utopolo hayo, leo wahakikishe wanamfunga kipa wa Simba ili washinde tar 19Mzize ! Utopolo ni utopolo tu!!
Botswana kamuweka mtu kwakeBotswana kweli wa kunichania mkeka jamani, namna gani hapa?
Mtaalam kabisa from uto, dadeek[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 3121275
Ni huzuni kwa kweli. Wale CV itakuwa wale mamluki waliocheza AFCON hawapo tena maana siyo timu ya kufungwa na BotswanaBotswana kamuweka mtu kwake
Yanga inataka iwaonyeshe kwamba inaweza kuifunga timu yeyote ile duniani