FT: England 1-2 Argentina | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | 15 Julai, 2026 | Nusu Fainali

Wameingiza mibeki, yaani Una goli unatakiwa umiliki mchezo Kwanza ww unajilinda, sasa unawapa Argentina momentum maana Wana washambuliaji wengi sasa na ww Una watu wengi wa kulinda automatically tayari umeshafungwa unless ufanye sub za mwisho ili kubalansi mzani...
 
Tuchel mjinga tu hahaha...alichotakiwa ni sio kukaa nyuma mapema vile, very unprofessional hahah...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…