FT: Esperance 0-0 Al Ahly | CAF Champions League Final | 1st Leg | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 18.05.2024

FT: Esperance 0-0 Al Ahly | CAF Champions League Final | 1st Leg | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 18.05.2024

Mwamuzi anashindwa kutoa second yellow card kwa mchezaji wa Al Ahly hali inayopelekea Wachezaji wa Esperance kulalamika
 
Game Haina mvuto wanacheza hovyo hovyo
Mchawi kanuni, endapo goli la ugenini likiondolewa utashuhudia soka safi kama lile la AFCON

Yanga ili msimu ujao afike fainali inabidi asajili viungo wakabaji wakutosha yaani akipaki bus asitoboke kirahisi, huko watu kama yao yao jawatakiwi unakuta yeye ni beki anatoka kwenda kushambulia anaacha pengo mwisho wa siku wakatandikwa tatu bila kule algeria. Na hapo ndipo gamond akili zikamkaa sawa si uliona alivyojaza viungo wakabaji game ya mamelod
 
Back
Top Bottom