Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Hii unachemka bwashee 😅FT : Esperance De tunis 0️⃣ - 0️⃣ Simba SC
Ni furaha yangu kuona timu ambazo hazithamini damu za mashabiki wao waliouawa kwenye mauaji ya kimbari ya mwishoni mwa mwezi Oktoba zikifingwa.View attachment 3533655
#nguvumoja#
Uhakika mkuu, chukua odds, weka laki hapo chap, 😁😁😁Hii unachemka bwashee 😅
Huwa sibeti mkuuUhakika mkuu, chukua odds, weka laki hapo chap, 😁😁😁
Sio kweli, huu ni unafki tuNaziona point 3 kwa simba leo
Dah ila mkuu simba kama sio simba vile tena 🤔 binafsi namwona ni fisi tu 🚮Mwarabu atatusamehe, lazima tumgonge hakuna namna.
Amini nakuambia. Wala sio unafiki mkuu. Kwenye haya mashindano simba wana rekodi nzuri hawawezi kukubali kupoteza mara 3 mfululizoSio kweli, huu ni unafki tu
Yangu masikio na macho mkuuAmini nakuambia. Wala sio unafiki mkuu. Kwenye haya mashindano simba wana rekodi nzuri hawawezi kukubali kupoteza mara 3 mfululizo
Utaona watakavyopambana leo hutaamini. Mimi siwezi kuwabeza simba eti kwakua nimemfunga ndani. Nje simba inakua nyingineYangu masikio na macho mkuu
usijisahaurishe,kante ana redcard. Hachezi.Kama chama atacheza kuna chance kubwa ya kuuona ubora wa wachezaji wapya hasa Naby na Kante katika kiwango cha juu. Nategemea kuona mechi nzuri leo. My prediction, ES 1-2 Simba
hawawezi" kukubali" kunatimu huwa inakataa isifungwe? Unaweza ukakataa na ukala mkono. Uwezo mkuu,hauna uwezo wa kumfunga esperance.Amini nakuambia. Wala sio unafiki mkuu. Kwenye haya mashindano simba wana rekodi nzuri hawawezi kukubali kupoteza mara 3 mfululizo
Records nzuri zinacheza namba ngapi?Amini nakuambia. Wala sio unafiki mkuu. Kwenye haya mashindano simba wana rekodi nzuri hawawezi kukubali kupoteza mara 3 mfululizo